ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 31, 2013

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA KANISA KATOLIKI ARUSHA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki baada ya ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya Kanisa Kuu la Jimbo la Arusha iliyofanyika mjini Arusha leo Desemba 30,2013.
Baadhi ya viongozi waliohudhuria katika Jubilei hiyo.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments: