Siku Miami Heat walipotembelea mjengo mweupe kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wao wa 2013 walipata fulsa ya kutengeneza kajitangazo ka kideo kumuunga mkono Michelle Obama kwenye kampeni yake inayoitwa "Let's Move" inayosisitiza umuhimu wa kula vizuri na kwa afya bila kusahau kunywa maji ili kuwa imara kama bingwa
No comments:
Post a Comment