Ilikuwa inaongozwa na Super woman Joyce Kiria, safari hii inarudi ikiwa na watangazaji wapya kabisa. Je, unawafahamu? Usikose kuiona studio mpya full red carpert. Kauli mbiu ya msimu mpya ni WASANII TUWE MIFANO BORA KATIKA JAMII. Unachotakiwa kufanya ni kuendelea kutazama luninga yako kupitia kituo bora cha vijana Ting'a namba moja EATV hivi karibuni Bongo Movies inatua tena. Yes, ni very SOON!
Msanii Pastor Myamba akiwa na crew ya Bongo Movies
Msanii Pastor Myamba akiwa na crew ya Bongo Movies wakionesha alama ya 5 kama ishara ya kutua EATV hivi karibuni.
Msanii anayefanana na marehemu Kanumba Lutazwa akiwa na crew ya Bongo Movies
Pastor Myamba na Selina
No comments:
Post a Comment