ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 17, 2014

C.E.O WA DREAMZWORKS ENTERTAINMENT COMPANY BAADA YA KULA MWAKA MPYA BONGO NA WAFANYAKAZI WAKE ALEJEA JIJI NEW YORK

David E Kassian ni C.E.O wa DreamzWorks Entertainment Company akiwa studio Ubungo Maziwa. David mwenye makazi yake New York alienda Tanzania kwa likizo fupi  ya mwaka mpya na kisha kuwafanyia party ya pongezi wafanyakazi wa Company yake. DreamzWorks inapatika Ubungo maziwa ndiyo makao makuu na office hii inayojishughulisha na kurekodi Mtangazo, muziki wa aina yeyote na movie.
Mmoja wa marafiki zake kutoka Florida Marekani alikuwepo nae kwenye party hiyo hapa akipata ukodak
Moja ya wafanyakazi wa Company waki show love kwa boss wao kwa kupata ukodak
Bwana Slim wa Bongo movie alikuwepo pia kwenye party hiyo hapa wakibadilishana mawili matatu na David.

No comments: