Advertisements

Monday, January 20, 2014

CHARLES NA BETTY MKWASA WASHEREHEKEA MIAKA 25 YA NDOA

Wana Silver Jubilee, Betty Mkwasa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma na mumewe Charles Boniface Mkwasa 'Master' Kocha msaidizi wa Yanga, wakionesha hati maalum ya ndoa kutoka kwa Papa Francis. Hati hiyo ya heshima hutolewa na Papa kwa wanandoa waliotimiza miaka 25 ya ndoa yao. Mkwasa na mkewe walitimiza miaka 25 ya ndoa yao Januari 14 mwaka huu na siku ya Jumamosi Januari 18 walifanya misa maalum ya kubariki ndoa yao na kurejea viapo vyao vya ndoa.
Haya ndio matunda ya ndoa ya Bwana na Bibi Mkwasa
Waziri wanchi ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu wa Bunge, Willium Lukuvi na mkewe nao walikuwepo. Katkati ni Mama mzazi wa Betty Mkwasa. 
Picha kwa hisani ya MD Digital Company +255 7170023/+255 373999

1 comment:

Anonymous said...

Hongereni Mr and Mrs Mkwasa.... Mimi nilikuona live enzi hizo wakati unachezea Yanga, ulikua umetulia sana katika ya uwanja, duh like group la yanga lililuwa si mchezo