ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 17, 2014

GAZETI LA RAIA MWEMA LIPO HEWANI

Sasa hivi Gazeti la Raia Mwema lipo  hewani (www.epapertz.com) na mengine yapo njiani kuja katika uwanja huu mpya.
 Kwa  wewe ulioko nje ya nchi itakuwa vema kama utapata taarifa za huku kwenu kupitia njia hii, mbali na habari za mitandao ya tovuti. Pia kwa ujumla unaombwa usaidie kuwapa taarifa ndugu wengine walioko ughaibuni na ndani ya nchi  wasipitwe na mambo ya huku nyumbani.
Wasalaam
Lugano Uli Mbwina 

No comments: