ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 29, 2014

HAPA NA PALE YA VIJIMAMBO MOTHER NATURE YA MWAKA HUU IMEGUSA KILA SEHEMU HADI FLORIDA

Hii ni Atlanta mother nature ikifanya kazi yake kwenye 1-75 Atlanta theluji ilifikia nchi 2. Theluji hiyo ilisababisha msongamano wa magari na shughuri nyingi kusimama, wanafunzi walilazimishwa kubakia mashuleni na wafanyakazi kubakia sehemu zao za kazi na kulala hadi siku ya pili bila kurudi majumbani kwao.
Inaitwa bump to bump kila mtu alikuwa anamwemea mwenzie kama mkia 1-75 highway maeneo ya Atlanta
Theluji ilisababisha usafiri wa mtu kukaa pembeni na kuwa moto hapo hapo.
Gari hizi siyo kwamba zime pack hapa wala madriver wakijaribu kupambana na theluji
 I-75  Covington, Kentucky hali ya hewa kama imetulia vile sogeza poa nje ukumbane na temperature Digitali
 hii ni kuelekea downtown Atlanta kwa taswira zaidi ya maza nature jitiririshe chini

Habari ndiyo hii
 Alabama, Bienville Square downtown temperatures is below freezing on Wednesday
 Ocean Boulevard in Myrtle Beach, South Carolina mambo yalikuwa hivi hapa theluji ilikuwa ni 4 inches.
 Watoto washule waliambiwa wabakie shule hapo hapo baada ya theluji kutishia walimu kuwaruhusu watoto kuondoka nyumbani. Habari hii ni Atlanta Georgia ni jumanne.
 U.S. Highway 98 huko Mary Esther, Florida nao walipata unyevu nyevu wa theluji uliosababisha dereva wa lori hili kupoteza mwelekeo.
Hapa ni Best Buy parking lot  palikuwa pakavu akuna wateja waliokuja kuogopa theluji utaona tu michoro ya matairi ya magari hii ni jumatano. 
flyover za Atlanta hizo kama unavyoona downtown na ATL kwambali.
Covington, Kentucky downtown 
Mama akipiga story na mbwa wake wakiwa wamekwama kwenye traffic iliyo sababishwa na theluji
Wafanyakazi waliambiwa kubakia sehemu za kazi bila kurudi nyumbani kwani barabara na traffic kubwa iliyosababishwa na theluji huko ATL.

Waliamua kukunja mbavu dukani kwani wasinge weza kufika nyumbani wange kwama barabarani
Lori limesha pack bila kujitambua kwenye mtaro theluji acha tu.
Kalinje kalinje hii ya theluji iliyakumba maeneo jimbo haya Kentucky, North Carolina, South Carolina, Georgia, Alabama, Louisiana and Mississippi 
Watoto wanaraha sana kwani kwao kugeuza mchezo popote ni rahisi kama unavyoona utoto raha sana.

2 comments:

Anonymous said...

Florida tuko salama mbona...ni barid tuu ya kawaida

Anonymous said...

Florida tupo poa mbona,,,,!!izo snow zmeishia uko Atlanta