Hidaya Mahita akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu, Omar Mahita VIP Lounge katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Dar es Salaam, Tanzania mara tu alipokua akiondoka siku ya Alhamisi Jan 16, 2014 baada ya kuwepo Tanzania kwa mazishi ya mpendwa wetu Zainab Buzohera aliyezikwa siku ya Jumapili Jan 12, 2014 katika makaburi ya Ukonga. Hiadaya Mahita aliwasili Dar es Salaam siku ya Ijumaa Jan 10, 2014

No comments:
Post a Comment