Cruise hii kubwa ikiwa na abiria 3,050 na wafanyakazi 54 ilisababisha abiria kuumwa wakiwa safarini katika kula raha za dunia. Hapa Cruise inaonekana ikipitachini ya daraja refu linalounganisha Staten Island na Manhattan NY. Royal Caribbean Cruise ufanya safari zake za kuzunguka sehemu mbali mbali kula raha kwa kutumia usafiri wa baharini. Baada ya abiria hao kuumwa wakiwa safarini viongozi wa Cruise hii wametoa %50 credit kwa kila msafiri alieumwa katika safari hiyo kama akitaka kusafiri tena na cruise hii.
Royal hiyo ikienda kupiga nanga kwenye gate ya New York City kushusha abiria
Raha hizi ziliwacost baada ya kuumwa, hapa ni moja ya starehe zinazopatikana ukiwa ndani ya Cruise hiyo.
Hii ndiyo Cruise Royal Caribbean inavyoonekana, abiria na wafanyakazi wake waliumwa hadi wakasikia kizungu zungu wakiwa safarini. |
No comments:
Post a Comment