
Tazama Jinsi Daraja hili lilivyo kaa kihatari zaidi .. Je hawa watu wanaovuka katika eneo hili hawaogopi?

Hebu kwa makini watazame watoto hawa wakiwa wanavuka katika daraja hili wakiwa peke yao huku mbele kabisa anaonekana kijana akiwa anawatazama bila wasi wasi je ikitokea akidondoka hapo nani atalaumiwa?Daraja hili la Hatari sana limekuwa maarufu katika eneo hilo huku zaidi ya watu 300, hulitumia kwa kuvuka , ikiwa sehemu kubwa ni wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari.
Je ukiwa kama mdau na msomaji wa Mtandao huu unalizungumziaje hili swala?
3 comments:
mbunge wao lazima anakula bata tu kunenepesha tumbo na kumiliki mali kwa pesa ya hao hao walimchagua.
very sad, serikali ifanye ktu jamani
serikali inasubili msamaria mwema toka marekani aje kulijenga
Kosa ni la hao wananchi kumchuguwa mbunge tapeli jibu ni kumtimuwa mbunge wao kwa fimbo.
Post a Comment