ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 2, 2014

IBADA MAALUMU YA KUMSIFU MUNGU NA KUUBARIKI MWAKA 2014.

Tarehe 5 Januari 2014 saa nane mchana [ 2pm ] Kanisa la Assemblies of
God-Glenmont Silver Spring tutakuwa na ibada maalum sana ya kusifu na kuabudu
pamoja na kuubariki mwaka 2014.

Anwani yetu ni 12805 Georgia Avenue, 
Silver Spring MD 20906.
Team ya wachungaji watafanya maombi maalum kwa familia, wasichana, wavulana
wenye kampuni, watoto na wenye shida za aina zozote. Kwanini uanze mwaka na
mambo ya kale? Yesu ni JIBU.......Mathayo 11:28-29. anza mwaka na BWANA.

Wachungaji: Tumaini Mwanyonga toka TZ,Stella Swai, Matthayo Malekela na
Samson Annaniah sote tutakuhudumia.

WATU WOTE MNAKARIBISHWA SANA

No comments: