ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 2, 2014

MAKAMO WA KWANZA MAALIM SEIF AZINDUA JENGO LA SKULI YA SEKONDARI WETE PEMBA







Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongazana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Juma Shamuhuna alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Wete Sekondari kwa ajili ya kuizungua Skuli hiyo ikiwa ni shamrashamra za Mapinduzi kutimia miaka 50.iliyoko katika Kijiji cha Pandani.Wilaya ya Wetev Mkoa wa Kaskazini Pemba


Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Mwanaidi Saleh Abdallah, akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa skuli ya Wete Sekondari iliyoko Pandani

No comments: