ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 4, 2014

KAZI NA DAWA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Habari ndiyo hii ingawa kazi ya wabunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kuwakilisha wapiga kura wao bungeni, lakini muda mwingine huchoka na mambo huwa kama hivi. 

3 comments:

Anonymous said...

Majanga....

Anonymous said...

OBESITY IS AN ISSUE. Pesa za kuchezea kula nyama na kunywa bia haya ndo matokeo yake.

Anonymous said...

Sasa angalia , 95% ya wabunge wote vitambi ....sasa kazi ndiyo hii maana unalala kazini na bado unalipwa posho kwenda kazini ...kweli tanzania is a rich country....kweli tutaendelea kwani hawa jamaa wanafanya kazi kweli ....2015 lazima mabadiliko