ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 21, 2014

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

10 comments:

Anonymous said...

Benja afadhali umerudi unachangamsha.

Anonymous said...

mlinzi wenu hapo nyuma vipi? kenyata hana dili hata kawa bodigadi wenu?
benja acha kelele na uongee point.

Anonymous said...

jabir jongo una tatto ya nyoka ya ukiriki nini ebwana eeh hujachacha

Anonymous said...

bora chadomo mario karudi karibu mkuu unachangamsha kwa vijineno vya mitaani na unaipigia debe sana ccm hongera je wewe ndo mwana sheria wao

Anonymous said...

benja umeniuzi sana kama ulivyosema kijiwe hichi ni cha kuuzi eti zitto kabwe na snatchers are you for really man wewe piga domo kaya na mambo ya vijiweni kwenye siasa usingiye kabisa au ndo unataka ccm wakuone ili upate kusaidiwa ulipiwe lipiwe vibill vyako.

zitto kwabwe hutomuweza yule kicha ile mbaya na ndo maana si siri ccm wanamtaka wewe kama nani usema kwamba hawamtaki?

yule ni mfano borra wa wana mapinduzi wa kisiasa chezea vinginevyo ule bia zako na ukakae nyumba ya kupanga mama akupande kichwa lakini usithubutu kuleta domo lako kaya kwa zitto kwabwee kwanza tutakufungulia kesi ya kumkashifu upoo

na duel citizen wewe huna huo u citizen so usione choyo kwa wenzako wanaotaka jambo hili eti unajidai kujua mambo ya sheria ya marekani wee umekuja lini hapa marekani? piga domo kaya kwenye kijiwe cha ughaibuni baba muache zitto kabwee

Anonymous said...

benja umechangamsha mario wangu tena ulipo wapandishia wakina jabir na yassin wanavyokuweka 3 ways na kukusema nilicheka ile mbaya tena unavyoijua siasa ya kijiweni ha ha umeniacha hoi
ndo watanzania kusemana hatuchoki na nikweli itakuwa umetoka dirishani na nyumba umeipoteza punguza starehe za kunywa kila leo marekani hii usipoangalia utaalala nje

Anonymous said...

Benja hafai kuwemo kwenye kijiwe cha ughaibuni. Badala ya kujenga hoja zenye mtiririko wa point yeye anapiga kelele kama mlevi hivyo ufuatiliaji wa mjadala unaingia kasoro. Akajifunze kuzungumza kwenye public ndiyo arudi kwenye kijiwe chetu

Anonymous said...

Swala la Zitto Kabwe; Benja amefunika

Anonymous said...

Benja, upeo wake kuhusu uraia pacha ni mdogo sana.

Anonymous said...

benja oyeee namfagilia jamaa huyu sana na ananichekesha kweli nimefurahi kumuona karudi wacheni madongoyenu wabongo wenye roho za korosho