ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 7, 2014

KISOMO CHA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA LEO JUMANNE MIRAGE HALL

Zainab Buzohera enzi ya uhai wake.
Dullah na Familia ya Buzohela inakukaribisha kwenye kisomo cha kumuombea mpenwa wao Zainab Buzohera kitakachofanyika leo Jumanne Jan 7, 2014 katika ukumbi wa Mirage uliopo 1401 Uneversity BLVD, 
Hyattsville, MD 20783 
kuanzia saa 12:00 jioni(6:00pm ET)
Leo ni siku ya kazi na majukumu mengi yanayotukabili lakini kama utapata nafasi tunaomba wakina baba mchangie vinywaji na akina mama mchangie chakula.

Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio
Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na 

Idd Sandaly 301 613 5165
Jabir Jongo 240 604 0574
Jasmine Bernett 410 371 9966
Hidaya Mahita 240 271 7799
Catherine Mukami 240 481 0392
Irene Milembe 571 501 0122
Latifa  Mzese 240 603 7363

Asante

4 comments:

Anonymous said...

Jamani tunaomba watakao watakaoondoka na mwili wa marehemu waondoke na vitu vyake wapeleke kwa mama yakeee, vitu kama nguo.viatu.mahandbag na kadhalika!! Huo ndo urithi wa mama yakee,, hili ni ombi tuuu

Anonymous said...

Haya ni maamuzi ya familia waliopo hapa, tusijiingize ktk maandalizi ya familia hasa muda huu mgumu .

Anonymous said...

It is a very sad situation. What happened to this young lady? Inanikumbusha Amina Chifupa. Jamani tuelezeni what happened.

Anonymous said...

naona yamekuwa maamuzi ya familia na tusijiingize...haya we!