ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 10, 2014

KWA WALE WANANAZI WA TIMU YA DARAJANI HII INAWABAMBA KWENU KIROHO SAFI

John Terry na na mdhamini wa pendo lake Toni wako tayari kuamia kwenye nyumba yao mpya baada ya kupiga bei.
Huu ni usinginzi wa John Terry na mke wake pamoja na mapacha wao wenye vyumba 8 vya kulala. Usingizi huu umepatika katika mapato yake ya mkataba wa kusukuma ngozi ya ngombe katika timu ya darajani Chelsea. Kwani timu hiyo imefunya bank na inamlipa pound 170.000 kwa wiki.
Hapa unaweza kuona nyumba hiyo yenye rangi nyeupe pembeni ya nyumba yake ya zamani ambayo ameipiga bei na pembeni yake akajenga kitu hicho chenye rangi nyeupe
.Usingizi huu upo huko katika mji wa Surrey UK.
John Terry akiwa na kombe  uwanjani pamoja na watoto wao mapacha na mama mwenye nyumba wake. 

No comments: