ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 10, 2014

SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ZIMESHAANZA KUPAMBA MOTO

 Shilole akiwa jukwaani mambo ya mapinduzi hayo yapamba moto kama unavyoona watu wakiwa full shangwe.
 Shilole akiwa back stage kabla ya kuingia ukumbini katika sherehe za mapinduzi ya Zanzibar
AT akiwarusha Wazanzibar wenzie katika sherehe za Mapinduzi zitakazo fikia kilele  chake weekend hii.

3 comments:

Anonymous said...

Hiyo picha ya kwanza mwanaume na mwanamke wanacheza 'dog style' publically ndiyo utamaduni wa Wazanzibari au ndo maana ya mapinduzi???????????????

Anonymous said...

Mdau wa kwanza jibu la swali lako ni 'both'

Anonymous said...

Hao waliopinduana wanacheza staili ya kimapinduzi. Yaani ni kupindua kwenda mbele.