Shilole akiwa jukwaani mambo ya mapinduzi hayo yapamba moto kama unavyoona watu wakiwa full shangwe.
Shilole akiwa back stage kabla ya kuingia ukumbini katika sherehe za mapinduzi ya Zanzibar
AT akiwarusha Wazanzibar wenzie katika sherehe za Mapinduzi zitakazo fikia kilele chake weekend hii.



3 comments:
Hiyo picha ya kwanza mwanaume na mwanamke wanacheza 'dog style' publically ndiyo utamaduni wa Wazanzibari au ndo maana ya mapinduzi???????????????
Mdau wa kwanza jibu la swali lako ni 'both'
Hao waliopinduana wanacheza staili ya kimapinduzi. Yaani ni kupindua kwenda mbele.
Post a Comment