ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 24, 2014

KWA WALE WATOTO TULIE KULIA USWAHILI HII UTAIKUMBUKA

Hii ni kuonyesha kuwa tunaweza kuwa wabunifu toka utotoni na je tukikuwa tunaendeleza ubunifu huu?.

5 comments:

Anonymous said...

Hivyo sio uswahilini ni kijijini,kusoma hujui hata picha uoni!!

Anonymous said...

tuna ubunifu sana tena tuna akili nzuri sana lakini masoko yapo wapi unafikiri wazungu watatuachia chunguzeni wenzangu mtaona kwa nini bara la africa kila siku njaa matatizo maradhi unadhani ni kweli so ubunifu tunao toka utotoni sema tumebanwa na ndo maana tupo huku majuu tunawachi mabepari watawale africa na sisi kuwa vibaraka wao

Anonymous said...

aisee safi sana ndo inavyotakiwaa hivi siyo watoto wanakuwa kama maboya ya kuku wa kizungu kila kitu video game na uzuzu wa kila aina si umewaona watoto hawa juu ya maisha magumu lakini akili zao hazifikiri mambo ya kijinga jinga na wako na kuenjoy maisha africa.

Anonymous said...

nimependa sana hii picha nanakubaliana na wadau wenzangu hapo juu na je sehemu ya kunyonga iko wapi.
mungu wabariki hawa watoto na watoto wote amen

Anonymous said...

Mwaandishi hili neno USWAHILINI linanikera sana.Maana ni msemo hususan kwa wenzetu ambao walijaaliwa kuishi maisha mazuri au maeneo mazuri kama oysterbay,upanga nk kutokana na kazi za baba zao ambao walikuwa kuwa wakifanya kazi serikalini na kuishi kwenye maeneo haya.Sasa basi mungu hanyimi yote kwani hao hao watoto wa uswahilini mungu kawapa ubunifu na akili basi tuu bahati mbaya kwa kuwa kipato ni kidogo wameshindwa kuendelezwa na sababu ingine ni umasikini wa nchi.Leo hii watoto kama hawa wangekuwa mbali sana.Pia baadhi ya hao hao watoto wa uswahili waliopata nafasi nao wako mitaa mimoja na hao wa uzunguni ambao wamekuta mkate kwenye meza.Watafika tuu .Mungu wajalie neema wanaoitwa wa uswahilini.