ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 28, 2014

KWETU FASHION YAJA NA KITU KIPYA

 This is the founder and  CEO of Kwetu fashion by Missy Temeke .By the way ,pay attention to  the african fabric handbag.it is also available at KWETU  fashion .   
Kwetu fashion 2014/Spring Limited Menswear.The extraordinary fabrics design thats stand the taste of time.Come in long and short sleeve ,with multiple colors to choose.Not only that ,it comes with combination of well organized lather material. 
 kwa picha zaidi bofya soma zaidi


8 comments:

Anonymous said...

Saafi mi mteja wa kwanza. Hogera dada.
Mdau Wash DC

Anonymous said...

mimi mteja wa pili, lakini tusafishie snow/ barafu kwanza tusijetukaanguka

Anonymous said...

Nataka kununua nitapataje fulana hizo. Na kuna wateja wengine pia.

Anonymous said...

The texture illuminate....

Anonymous said...

zinapatikana na za kike ?miss tujulishane naitaji nyekundu ya mimi na mama watoto ASP.

Anonymous said...

hakuna hata nguo ya kweli hapa ,, zote zimepakwa rangi na computer , tusidanganyane hapa,

Anonymous said...

Lol

Anonymous said...

Jamani mbona hii Logo ya Anne Klein? Tumejifanya kuongeza kichwa cha pili cha simba... Watch out for copy rights policies before you establish yourself and get in trouble...