Barabara kuu ya itokayo katikati ya jiji la Mbeya kwenda Mbalizi kupitia Mabatini Meta imeanza kuharibika mapema toka lami iwekwe takribani mwezi mmoja uliyopita hii ndiyo halisi ya barabara hiyo
kweli hii barabara itamaliza mwei huu?
Wahusika mpoooo
Tayari baadhi ya maeneo ya barabara hiyo mashimo yameanza kuzibwa na tope la saruji
Picha yenyewe inajieleza je hii ni halali?
Matukio yote na Mbeya yetu blog
2 comments:
duh! Haibu zao CCM imetunyonya sana jamani salalaaaaaa
Jamani mda umefika wa watu kuwajibika. Mimi nipo marekani nafanya mambo ya ujenzi. Upuuzi kama huu zamani mtu kibarua kisha ota nyasi.mkandarasi a shan'goa kwa gharama zake na kuweka asphalt mpya yenye kiwango. Kwanza kabla hii barabara haijatumika wakaguzi wa wizara ya .ujenzi waliidhinisha .wote hao hamna kazi. You're fired.halafu kila mtu atafanya kazi yake ipasavyo. I say fire them all!.
Post a Comment