
Waziri wa ujenzi John Magufuli akiruhusu Lori la kwanza kupita katika daraja la Dumila wilayani Kilosa baada ya mainjinia wa wizara hiyo kukesha usiku kucha kutengeneza daraja hilo.
Waziri Magufuli akitoa maagizo katika daraja hilo.
PICHA KWA HISANI YA MATUKIO NA MICHAPO BLOG



1 comment:
tanzania yetu hii waziri kawa construction au kasomea mambo haya ya ujenziwa bara bara
kazi kweli ipo huko kwetu bongoland ndo maana na mimi nikirudi tu nataka nitafute njia ya kuingia kwenye siasa
Post a Comment