ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 24, 2014

MAWASILIANO KATI YA DODOMA NA MOROGORO YAREJEA BAADA YA NJIA KUANZA KUPITIKA

 Waziri wa ujenzi John Magufuli akiruhusu  Lori la kwanza kupita katika daraja la Dumila wilayani Kilosa  baada ya mainjinia wa wizara hiyo kukesha  usiku kucha kutengeneza daraja hilo.
 Waziri Magufuli akitoa maagizo katika daraja hilo.
 Magufuli akihimiza kukamilika kwa kazi ya daraja hilo ili magari yaweze kupita.
PICHA KWA HISANI YA MATUKIO NA MICHAPO BLOG

1 comment:

Anonymous said...

tanzania yetu hii waziri kawa construction au kasomea mambo haya ya ujenziwa bara bara

kazi kweli ipo huko kwetu bongoland ndo maana na mimi nikirudi tu nataka nitafute njia ya kuingia kwenye siasa