ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 6, 2014

Mkasi na Mchungaji Lusekelo

3 comments:

Anonymous said...

mchungaji lazia a live large na asiwe maskini ila maskini waengezeke ha ha imekaaje jamani hiyoo ha ha bora mchungaji kapasua pasua mzee wa upako

Anonymous said...

WEWE SERIKALI INA DINI USIDANGANYIKE WEWE FUNUKA AKILI MWANANGU

Anonymous said...

Mzee wa upako kachapia hapo, alieuawa na bomu lililokua kwenye shada la maua ni waziri mkuu wa zamani wa India Rajiv Ghandhi na sio Mahatma Ghandhi..aliuawa na suicide bomber mwanamke wa ki tamil alieenda kuzuga kama anampa shada la maua.