ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 1, 2014

NEW YEAR'S PARTY, HOUSTON-TX

Watanzania wa Houston, Texas wakijumuik pamoja katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2014 usiku wa kuamkia Jumatano mjini humo.
Watanzania wa Houston, Texas nchini Marekani wakipata chakula cha kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014 walipojumuika pamoja Jumanne Dec 31, 2013
Mdau katika picha ya kuaga mwaka 2013
Mdau akipata chakula wakati akisubili mwaka mpya wa 2013.
Wadogoo nao hawakuwa nyuma katika kusubili kuukaribisha mwaka mpya.
Walimbwende wa Houston katika picha ya pamoja walipojumuika usiku wa kuamkia mwaka mpya 2014 mjini humo.
Watanzania wa Houston, Texas wakijumuika pamoja kuukaribisha mwaka mpya.
Mambo hayo ya kuukaribisha mwaka 2014
Watanzania wa Houston, Texas wakijumuika pamoja kuukaribisha mwaka 2014.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

5 comments:

Anonymous said...

ilifanyikia kwa nani?nimepapenda sana.

Anonymous said...

Dr jenga ( phd )

Anonymous said...

Acha uzushi, hapo siyo kwa Dr Jenga.

Anonymous said...

ok..asante mdau.

Anonymous said...

nikwa nani kama si kwa Dr Jenga?