ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 25, 2014

ROGERS EXPORTS LLC


RODGERS EXPORTS LLC. INATOWA HUDUMA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KUTOKA, (USA) KWENDA (DSM NA ZNZ) TANZANIA   
Tunawatangazia watanzania wote na marafiki wanaoishi hapa USA na wale wanaoishi tanzania, Hudumazetu za usafirishaji mizigo kutoka USA kwenda
Tanzania, Safirisha mizigo yako kupitia Rodgers Exports LLC, Kwa usalama wa
mizigo yako kutoka hapa USA kwenda Dar es Salaam  Zanzibar Tanzania,
Kumbuka Rodgers Exports LLC  inapokea mizigo inayonunuliwa na watanzania mbali mbali na marafiki wanaoishi njee ya USA, na kusafirisha mizigo hiyo Tanzania, Ndugu mtanzania na marafiki nunuwa bizaa bora
zinazotengenezwa hapa USA, (Use Rodgers Exports LLC Adres for Delivery),
wasiliana na Haji kwa maelekezo zaidi kuhusu huduma zetu mbali mbali,

RATIBA YA UKUSANYAJI WA MIZIGO (DMV), (PA,NJ,     JUMANNE JANUARY- 28 TO 29 WASILIANA NA HAJI (919-672-6063
Kontena letu litaondoka (February-10), watuwote wanaopendelea kutumia
huduma  zetu, na hatutaweza kuwafikia katika ukusanyaji wa mizigo tunawaomba kutumia Acc# yetu ya FedEx Ground kwa kuleta mizigo (NC)

(50%) Discount when using FedEx ground to ship your products to Rodgers Exports LLC, Office NC
Tuandikie, rodgersexports@gmail.com au tembelea katika (Tavuti) yetu www.rodgersexport.com shukra zetu kwa watanzania wote na marafiki.


1 comment:

Anonymous said...

Likiondoka February 10 linafika lini Dar?