
Mrusha mpira (Quarterback) Russell Wilson #3 wa Seattle Seahawks akiangalia nani wa kumpasia mpira kwenye robo ya kwanza ya mchezo timu yake ilipocheza na San Francisco 49ers kwenye mechi ya ubingwa wa NFC iliyochezwa kwenye uwanja wa CenturyLink siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Seattle jimbo la Washington.

Mrusha mpira (Quarterback) Russell Wilson #3 wa Seattle Seahawks akipigwa kikumbo na linebacker wa ndani NaVorro Bowman #53 wa San Francisco 49ers kwenye nusu ya kwanza ya mchezo kwenye mechi ya ubingwa wa NFC iliyochezwa katika uwanja wa CenturyLink siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Seattle jimbo la Washington.

Mrusha mpira (Quarterback) Colin Kaepernick #7 wa San Francisco 49ers akila jaramba la kurusha mpira kabla ya mechi yao na Seattle Seahawks kuanza ya ubingwa wa NFC iliyochezewa uwanja wa CenturyLink siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Seattle jimbo la Washington.

Mrusha mpira (Quarterback) Colin Kaepernick #7 wa San Francisco 49ers akikimbia na mpira kwenye mechi ya ubingwa wa NFC timu yake ilipocheza na Seattle Seahawks katika uwanja wa CenturyLink siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Seattle jimbo la Washington.

Mechi ikiendelea kwenye robo ya kwanza ya mchezo kati ya timu ya Seattle Seahawks na timu ya San Francisco 49ers kwenye mechi ya ubingwa wa NFC iliyochezewa uwanja wa CenturyLink siku ya Jumapili January 19, 2014 mjini Seattle jimbo la Washington.

Mrusha mpira (Quarterback ) Colin Kaepernick #7 wa timu ya SanFrancisco 49ers akijaribu kumpita linebacker wa kati Bobby Wagner #54 wa timu ya Seattle Seahawks kwenye nusu ya kwanza ya mchezo kwenye mechi ya ubingwa wa NFC iliyochezewa katika uwanja wa CenturyLink siku ya Jumapili January 19, 2014 mjiniSeattle jimbo la Washington.
No comments:
Post a Comment