| Zuwena Mohamed ‘Shilole’.STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amewachana wasanii wanaojihusisha na madawa ya kulevya kuwa ni wavivu.Akizungumza na paparazi wetu pasipo kuwataja majina, Shilole alisema wasanii wengi ni wavivu na kinachowaponza zaidi ni tamaa za kuwa na maisha mazuri, wanafikiri mafanikio yanakuja kirahisi pasipo kuhangaika. “Wanafikiri mafanikio yanakuja kirahisi bila kujishughulisha, ninawashangaa sana kwani wanajishushia hadhi zao kwa tamaa ya kutaka kuwa na maisha mazuri bila kufanya kazi, badilikeni,” alisema Shilole |
3 comments:
Ukitaka nchi nzuri na watu wake,fukuza wahindi na waharabu woote kama alivyofanya Idd amin dada....la sivyo mtaendelea kuwa vibaraka tu..na..mtanyonga hivyo viuno mpaka mbakie mifupa... wewe chezea Marahaba na mtaka cha uvunguni.
Utawafukuza hata kama ni raia au wapo nchini kihalali?
jamaa anausongo sana na wahindi na waarabu utabakia hivyo hivyo na roho yake ya korosho iddi amin aliwafukuza sasa kiko wapi ni hata baba wataifa aliwataifisha majumba yao sasa kiko wapi unadhani africa hakuna muhindi wala muarabu mzawa,mjinga sana jamaa huyu anaakili za bata za kubwata bwata ovyoo marekani canada uingereza na kote ulimwenguni hukosi kuwaona makabila haya na sasa wameongezeka wameingia wachina unaishi karne ya ngapi bwana mdogo kama unachuki zako binafsi basi kaanazo usitochafuliye blog yetu hiii
Post a Comment