Cake ya birthday ya mwanamitindo maalufu wa Tanzania Ally Remtullah hii ni special kwa ajili yake
Hapa Ally akipata ukodak na marafiki zake kwenye birthday hiyo, kivutio kikubwa katika birthday hii ni cake ambayo ilikuwa ya aina yake yenye mfano wa mwili wa binadamu. Hii ni kuonyesha kuwa yeye ni mwanamitindo wa nguo eeeh!! mambo mengine mwachie baba na mama.


1 comment:
style ya mashoga hii
Post a Comment