Major Samuel Isaac Chekingo enzi ya uhai wake
Ndugu,Sam Checkingo wa Chicago - IL anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Major Samuel Isaac Chekingo. Kilichotokea nyumbani Tanzania alfajiri ya leo tarehe 01.28.2014 katika Hospitali ya Lugalo, Dar-es-salaam.
Sam anatarajia kuondoka baada ya siku kadhaa ili awahi mazishi ya baba yake mpendwa.Kama ilivyo desturi yetu, Sam anahitaji msaada wetu katika wakai huu mgumu.
Msiba upo nyumbani kwa Sam Chekingo;
Address: 1170 East Candlenut lane
Palatine,IL 60074
Pia unaweza kuwasiliana na Sam katika na hii ni: 847-987-9637
Unaweza tuma rambirambi zako kupitia Chase Bank
Samson Chekingo
Chase:212350228
Route: 071000013
Email address: samchecks@hotmail.com
Kwa niaba ya Samson Chekingo Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
No comments:
Post a Comment