ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 7, 2014

TANGAZO KWA WATUMIAJI WA SIMU ZA ANDROID NA GALAXY TAB KUHUSIANA NA APP YA VIJIMAMBO

Wadau wa Blog ya Vijimambo wiki kama mbili kulikua na tatizo la ufundi kwenye App ya Vijimambo kwa watumiaji wa simu za Android na Galaxy tab kwa sasa tatizo hilo lishapatiwa ufumbuzi  kama App yako haifanyi kazi tafadhali ifute na inyonye upya kutoka kwenye Google Play na hii ni kwa watumiaji wa simu za Android na Galaxy Tab watumiaji wa simu za Iphone na Ipad mambo yenu mswano tangzao hili haliwahusu. Timu ya Vijimambo inaomba radhi kwa usumbufu wote utakaotokea

No comments: