ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 2, 2014

TASWIRA ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA NEW YORK

Mhe. Balozi Tuvako Manongi akiwagawia keki watoto wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2014 iliyofanyika nyumbani kwake jiji New York usiku wa tarehe 31 na kuhudhuriwa na baadhi ya Maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu jamaa na marafiki, 
Mhe. Balozi Tuvako Manongi akifungua champagne kwenye hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2014 iliyofanyika nyumbani kwake jiji New York usiku wa tarehe 31 na kuhudhuriwa na baadhi ya Maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu jamaa na marafiki, 
Mhe. Balozi Tuvako Manongi akigonganisha glasi na wageni waalikwa kwenye hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2014 iliyofanyika nyumbani kwake jiji New York usiku wa tarehe 31 na kuhudhuriwa na baadhi ya Maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu jamaa na marafiki, 
Wageni waalikwa wakigonganisha glasi kwenye hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2014 iliyofanyika nyumbani kwake Mhe. Balozi Tuvako Manongi jiji New York usiku wa tarehe 31 na kuhudhuriwa na baadhi ya Maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu jamaa na marafiki, 
Mhe. Balozi Tuvako Manongi na wageni wake wakiinua glasi juu kwa furaha kwenye hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2014 iliyofanyika nyumbani kwake jiji New York usiku wa tarehe 31 na kuhudhuriwa na baadhi ya Maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu jamaa na marafiki, 
Wageni waalikwa wakifurahia kuuona mwaka 2014 kwenye hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2014 iliyofanyika nyumbani kwake Mhe. Balozi Tuvako Manongi jiji New York usiku wa tarehe 31 na kuhudhuriwa na baadhi ya Maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu jamaa na marafiki,

No comments: