| Bondia Antony Edowa kushoto akipambana na Gervas Regasiano wakati wa mchezo wao kwa ajili ya kuhamasisha tuzo za PSPF Tanzania Boxing Awards zilizofanyika nje ya uwanja wa karume karibu na soko la mitumba mchikichini Regasiano alishinda kwa point mchezo huo Picha na www.superdboxingcoac.blogspot. |

| Bondia Gervas Regasiano akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake baada ya kumtwanga Antony Edowa |
Na Mwandishi Wetu
MCHEZO wa mwisho kwa ajili ya kuhamasisha ngumi unatarajia kufanyika siku ya alhamisi ya january 23 katika viwanja vya wazi vya Zakhem mbagala Dar es salaam mapambano hayo ya ngumi yenye lengo la kuhamasisha tuzo za PSPF Tanzania Boxing Awards ambazo zinafikia tamati january 25 kwa washindi kupatiwa tuzo hizo zitakazofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
akizungumza na waandishi wa habari makamu wa rais wa shirikisho la ngumi za ridhaa nchini Lukelo-Anderson Willilo amesema utoaji wa tuzo hizo zitaongozwa na burudani mbali mbali na mapambano ya masumbwi ya mabondia wa ridhaa na kulipwa ambao wataoneshana uwezo siku hiyo alitaja burudani zitakazokuwepo siku hiyo kuwa na FM Academia, Malkia wa Mipasho Khadija Kopa, Excel one band,tom ongala, na kantona mgogo wa mazizi ndio burudani zitakazo tolewa kwa iku hiyo na mgeni rasmi
hatakuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara ambaye atakukuwa akishudia kwa mara ya kwanza kabisa tuzo hizo zinazoshirikisha mabondia mbalimbali
No comments:
Post a Comment