Zari ni mrembo mwenye makazi yake Africa Mashariki katika nchi ya Uganda, Ni mrembo haswa mwenye umate mate wakutosha wa kumwezesha kumiliki Usingizi mzuri magari ya kifahari yani full kipupwe. Maisha ya raha kwake ni sawa na doze anaweza kufanya chochote kwani umate mate unaongea. Lakini je umate mate huu umetokana na nini mimi na labda na wewe tutabaki kujiuliza bila majibu lakini mwenyewe anajua .
Huu ndiyo usingizi wake full kipupwe
Unaweza kuona na kutambua kuwa kizuri kula na ndugu zako
Usafiri wa kwendea sokoni ni habari ya mjini
Usafiri wa kwendae duka
Huu ni usafiri wa kwendea kwenye shughuri za kioffice
Zari akiwa ndani ya duka lake la vito vya thamani
Habari ndiyo hii najua ungetamani kuweka kioo chuni kwa wale wa tuliosoma shule zetu za uswahili kama mimi jibu mnalo..tee tee tee tee...!!
Usafiri huu ni mambo ya mitoko ya usiku kwenye viota vya maraha ndani ya jiji la Kampala
Uwani kwake magari ya wageni wakitaka kuzunguka mjini
Usafiri wa kumpeleka mtoto shule na kumrudisha












8 comments:
How many safe round trips to Macao China has she made so far?.
who is she? what does she do for living?
Macao byproduct. ...
Kabla hamjaanza kumsulubu tafuteni Historia yake ana shule (college) zaidi ya 10 south Africa before.
http://www.zarionline.co.za/?q=node/73
sio kilamtu muuza unga HARDWORK PAYS
Wapi Wema Sepetu na na gari la kuhongwa
Dada umetisha... Wema sepetu upo hapo? Mafanikio madogo kelele kibao.
Mchangiaji #4 inaelekea unamfahamu vema huyu dada.tupe maelezo how did she get there, we have already known what she have.
even south American cartels are working extremely hard to put legitimate businesses on the surface.
sembe
Post a Comment