Ni vyema waTanzania wakajua wazi kuwa huu usambazaji wa fedha kama njugu na kuwajali waendesha bodaboda kuwa yuko pamoja nao, wakati inaonekana wazi kuwa ni wavurugaji! Huu Uraisi anaotaka ni wa nini wakati ni mtu aliyetuharibia sana taifa letu, sioni sababu ya kumuita waziri mkuu mstaafu hajastaafu chochote alifukuwa Tuwe makini na ununuzi wa nafasi ya juu ya Taifa jamani!!
Kweli kabisa @Mdauwa pili, Lowassa alifukuzwa kazi na wananchi kwa ajili ya rushwa iliyokithiri na hata kuhatarisha usalama wa taifa. Hastahili kuitwa waziri mkuu mstaafu kwa kuliweka taifa gizani na kulitia hasara ya mabilioni ya pesa. Hasara ambayo hadi leo watanzania bado tunaendelea kuipata.
Mtu mwenye uchu wa madaraka namna hii ni wa kuangaliwa sana. Halafu kwanini apate madaraka kwa rushwa na kuhonga makanisa na misikiti? Kwanini anawanunua watu? Mnategemea kiongozi kama huyu kweli atakuwa na tija na awe msafi wa kupiga vita rushwa? Anataka kuinunua ikulu? Mwalimu alisema, huko Ikulu kuna nini? Kwanini watu wanapakimbilia? Kuna biashara gani? Mimi sina imani kabisa na viongozi wanaoanza kujitangaza miaka mitano kabla ya uchaguzi...hawa ni watu hatari sana kwa taifa na uchu wao utatutokea puani. Kuweni makini WaTanzania wenzangu....!!
4 comments:
Yeah UVCCM msimamo uleule. Hii ni moja ya njia ya kumuenzi baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. RIP

Post a Comment