Penniel Mwingila 'VJ Penny'.
Mtangazaji na meneja wa vipindi wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mwingila 'VJ Penny' amesema kuwa yeye na mpenzi wake, staa wa ‘My Number One’, Diamond Platnumz, wamepeana nafasi ili kila mmoja kutafakari anachotaka maishani.
Kauli ya Penny kwenye mahojiano maalum na Bongo5 TV, inajibu maswali ya wengi kuhusiana na kama wawili hao wapo pamoja au wameachana baada ya Diamond na mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu kurudiana tena. Katika interview hiyo, Penny ameongea pia kuanzia historia yake, namna alivyoingia kwenye utangazaji, alivyokutana na Diamond, mapenzi yao yalivyokuwa, alivyojisikia baada ya kuona picha za Wema na Diamond, maisha yake ya sasa na mipango yake ya mwaka huu.Kwa video zingineza VJ Penny za mwendelezo wa mazungumuzo haya Bofya soma zaidi

5 comments:
kingereza kibaya ndiyo maana umeashwa ni bora ungeongea swahili and be genuine kwenye hiyo interview ungependeza zaidi lakini unarudiarudia maneno yaleyale inaonyesha jinsi gani hakuna elimu ya uhakika
Wewe na huyo Wema akili zenu wote mko sawa.mmezoea kuzungushwa kama kamba za viatu.wakati jamaa anakutumia mwenzako nae alikuwa pending akisubiri uchokwe, subiri zamu yako itafika akimchoka mwenzako..
what a shame!!
Sio mzuri kiviiiileeee.......ndio maana ametupiliwa mbali. Kwanza amekiuka misingi ya uandishi wa habari, swali aulizwe kwa kiswahili, jibu limtoke kwa kiingereza....huko ndiko kujibalaguza kwenye....
Anony namba moja I bet you can hardly stand up to the lady's mastery of the language, intelligence and I must admit sincerity. She is damn smart albeit naive. I admire her but wish she had better mentors. She has great potential and wud be an asset to any enterprise. Regrettably, even if she is not ready to admit it she is still drawn to the mercurial young man. Pity her. She needs to move on. She can be what she wants to be. She must indeed move on otherwise this is only a first chapter in a story with a sad ending. What she needs is counseling and support, not ridicule.
Is she Nigerian??? Because she looks like!!!
Post a Comment