Mfiwa kushoto Bw.Dula ambaye ni mume wa marehemu akiwa na Terry katika msiba huo Jumamosi usiku huko Bladensburg Maryland pamoja na Tery Watanzania wa DMV waliungana pamoja na familia usiku huohuo wa jana mara baada ya kupata taarifa ya msiba. Msiba upo nyumbani kwa marehemu 5030 57 th ave Apt 303 Bladensburg md 20710
Mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera (wa pili kulia)akiwa amezungukwa na jamaa, ndugu na marafiki wakimfariji.walipojumuika jioni mara baada ya kupata taarifa ya msiba wa mpendwa wao Zainab Buzohera aliyefariki jana jioni Doctor's Community Hospital iliyopo Lanham, Maryland,
Mume wa marehemu Dullah (tshirt nyekundu) akifajijiwa na Watanzania DMV waliofika nyumbani kwao 5030 57 th ave Apt 303 Bladensburg md 20710 usiku huo mara tu baada ya kupata taarifa ya msiba.
Ndugu, jamaa na marafiki wakisoma dua nyumbani kwa marehemu Bladensburg, Maryland
Watanzania DMV wakijumuika pamoja nyumbani kwa marehemu kuwafariji ndugu,na jamaa wa marehemu mara tu walipopata taarifa ya msiba wa kufiwa na mpendwa wao.
Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja na wafiwa nyumbani kwa marehemu.
Edward Taji akijumuika na wafiwa nyumbani kwao Bladensburg Maryland.
Alfan Limmo (kulia) pamoja Jabir Jongo wakiwa kwenye msiba wa mpendwa wetu Zainab Buzohera.





1 comment:
nawapenda sana watu wa maryland wako poa tena wanaupendo na wenzao ni mfano wa watanzania wa kuigwa mungu akubarikini sana kwenye misiba wako wote kwenye harusi wote hawana visirani kama state zinginewe. hongereni sana tena sana mungu akubarikini sana.
poleni sana wafiwa wote mungu akupeni moyo wa kustahamili amin
alfan limmo mwanangu bongo imekupenda shavu/mashavu embe dodo mwangu
Post a Comment