ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 5, 2014

WATANZANIA WASHINGTON, SEATTLE WAFANYA IBADA MAALUM YA KUMBUKUMBU YA FLORA KOMBA

Mrs Regina Chinguku Mama wa marehemu aliyekuja toka Tanzania akifuatilia ibada maalum ya Kumbukumbu ya Marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 Seattle, Washington State na kuhudhuriwa na Watanzania waishio hapa na marafiki zao.

Mchungaji Nteze John Lungu aliyekuwa mchezaji wa timu ya Pamba ya Mwanza na Simba Sports Club ya Dar es Salaam akiongoza ibada maalum ya Kumbukumbu ya marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State na kuhudhuriwa na Watanzania wa Seattle na marafiki zao wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.
wadogo zake marehemu Fidea kushoto toka Japan na Miriam kulia aliyekuja tokea tanzania wakifuatilia Ibada maalum ya kumbukumbu ya Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State na kuhudhuriwa na Watanzania wa Seattle na marafiki zao wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.
Watanzania wa Seattle na marafiki zao wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu wakifuatilia ibada maalum ya kumbukumbu ya marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State
Watanzania wa Seattle wakijumuika pamoja na familia ya marehemu katika ibada maalum ya kumbukumbu ya marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State
Watanzania wa Seattle na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye ibada maalum ya kumbukumbu ya marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State.
Ndugu, Jamaa na marafiki wa marehemu wakijumuika pamoja na wafiwa katika ibada maalumu ya kumbukumbu ya marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State.
Watanzania wa Seattle na marafiki zao wakifuatilia ibada.
Watanzania wa Seattle na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye ibada maalum ya kumbukumbu ya marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State.
Watanzania wa Seattle jimbo la Washington wakijumuika pamoja kwenye ibada maalum ya kumbukumbu ya marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

2 comments:

Anonymous said...

nimefurahi kumuona amin dolla lakin jamaa mbona unazeeke hivyo whats going on in seattle man

Anonymous said...

professor amin ibrahim yuko wapi jamani