ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 10, 2014

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUTUHUMIWA KUIBA BODABODA KATIKA MLIMA NYOKA.


 Miili ya Marehemu ikiwa imetelekezwa katika mlima nyoka
 Miili ya Marehemu baada ya kupigwa vibaya
 Kiatu vya mmoja wa marehemu aliyeuawa
Hapa ni eneo marehemu walipo jaribu kukimbia
Baadhi ya mashuhuda akiwemo mwenyekiti wa Bajaji wa pili kushoto na watatu mwenye begi mgongoni mwenyekiti wa Bodaboda wakiwa eneo la tukio Mlima Nyoka. Picha na Ezekiel Kamanga  
Source: Mbeya yetu Blog

2 comments:

Anonymous said...

Ndugu zangu watanzania,hii yote inasababishwa na uzembe wa polosi wetu na serikali zinazotawala. Wahusika wa mauaji wanafahamika na hili siyo tukio lakwanza kufanyika. Cha ajabu serikali haiweki sheria nakutilia mkazo wa kuwalinda watuhumiwa. Anayetuhumiwa kutenda kosa bado, anakuwa si mkosaji mpaka hapo upelelezi wakumtia hatiani utakapo kamilika.....sasa inakuwaje hawa watu wanajichukulia sheria mkononi na kupiga picha wakiwa na marungu mapanga na wala polisi wasifanye lolote dhidi yao. Inasikitisha saana. MTANZANIA.

Anonymous said...

Nakubaliana na wewe kabisa, unawezaje kuvhukuwa hatua na kumuuwa binadamu mwenzako kwa kipigo kama hicho? Jamani human rights iko wapi?