ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 20, 2014

Wazanzibar walioko New York waadhimisha miaka 50 ya mapinduzi

Bwana Msami alikuwa kivutia kikubwa ukumbuni hapo kwa comedy zake juu ya watu wa viziwani.

Wiki moja baada yaZanzibarkuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi, wananchi wa visiwa hivyo wanaoishi mjiniNew York na maeneo ya jirani wameungana na watanzania wote kwa ujumla katika kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi.

Mwandishi wa idhaa hii Joseph Msami alikuwa amiongoni mwa waliohudhuria sherehe hizi na kuandaa ripoti ifuatayo.

Kusikiliza makala hii maalum bonyeza hapa

No comments: