ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 7, 2014

WHO RUNS DSM?

kwa wale ambao hawafahamu ni kwamba mimi na raia wenzangu tunasimamia kitu kinaitwa BBALL KITAA...jukwa la kukuza mpira wa kikapu kitaani pamoja na hip hop music.

sasa kila ijumaa moja ya mwezi huwa tuna kitu kinaitwa BBALL KITAA CHINI YA MATAA na ijumaa hii tunatafuta WHO RUNS DSM kwenye swala la kikapu

tutakuwa na game moko kati ya UDSM VS CBE.

game itahappen katika viwanja vya GYMKHANA DAR kuanzia saa 1 usiku....

haina kiingilio.

nyote mnakaribishwa.

No comments: