Mechi hiyo iliyochezwa saa 9.00 kwa saa za Tanzania kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mashindano ya kimataifa wa Yanga, Seif “Magari” Ahmed amesema Timu ya Yanga imeibuka mshindi wa goli 3-0 magoli yaliyifungwa na Didier Kavumbagu dakika 10 , Okwi dakika ya 46 na Kizza dakika ya 61.
Ahmed alisema kuwa wachezaji wamecheza mpira mkubwa katika vipindi vyote viwili Nna kwa ushirikiano kama timu.
No comments:
Post a Comment