Msemo mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo unagonga ndipo unapokutana na Miriam Njeru, mwanamke mwenye umri wa miaka 27. Miriam alizaliwa na ulemavu mikononi na mwezi Aprili alijifungua mtoto buheri wa afya. Amini usiamini mwanamke huyu anamlea mwanawe kwa kutumia miguu, bila mfanyakazi wa nyumbani. Tunamuangazia katika makala yetu ya Almasi wiki hii.
No comments:
Post a Comment