ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 6, 2014

Watu 2 wamekufa na wengine kujeruhiwa katika ajali ya basi la Zuberi Singida.


Watu wawili wamekufa papo hapo baada ya basi la Zuberi waliokuwa wakisafiria kutoka Mwanza na kuelekea jijini Dar-es-Salaam kumkwepa bibi kizee mtembea kwa miguu katika kijiji cha Tumaini tarafa ya Ikungu katika wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

No comments: