Baadhi
ya Watoto waliocheza halaiki wakichukua chakula walichoandaliwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk. Ali Mohamed
Sheinkatika viwanja vya Beit El Ras leo mchana kwa kufanikisha sherehe
za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja
wa Amaani Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014.[Picha na Ramadhan Othman,
Ikulu.]
Watoto
waliocheza halaiki wajisikia kwa kupata chakula cha mchana
walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi
Dk. Ali Mohamed Sheinkatika viwanja vya
Beit el Ras watoto zaidi ya
Elfu mbili walihudhuria katika hafla hiyo iliyofanyika baada kufanikisha
kwao kwa umahiri kabisa katika sherehe za kilele cha miaka 5o ya
Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja tarehe 12,
2014.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulku.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk. Ali Mohamed Shein
(katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi, (wa tatu
kushoto) akiwa na katika picha ya pamoja na Watoto waliocheza halaiki
baada ya kuwanao pamoja katika hafla ya Chakula cha mchana
alichowaandalia Watoto hao waliofanikisha sherehe za miaka 50 ya
Mapinduzi ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini
Unguja tarehe 12 jan 2014, wakiwepo viongozi wengine. [Picha na
Ramadhan Othman, Ikulku.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akifuatana na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,
(kulia) baada ya kumalizika hafla ya Chakula cha mchana alichowaandalia
Watoto waliocheza halaiki katika sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja
tarehe 12 jan 2014.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulku.]
No comments:
Post a Comment