Kweli elimu ni bahari na wala haina mwisho, picha aliyoipost kwenye mtandao hivi karibuni wa kijamii inamuonesha msanii huyo mahiri wa bongo movie akiwa anapiga kitabu,huku wadau wakimuhasa apige kitabu uenda ikawa ni mkombozi wake.
7 comments:
Anonymous
said...
Anakumbuka shule leo? Wow...shule hiyo ipo serious? Darasa la ngapi sasa? Na juisi pembeni.....kweli bongo shule zipo tambarare.
Anaweza kuwa karudi shule kweli,ila picha kapigia sehemu nyingine.. .wasani......na manjonjo....manake ukiambiwa Darasa la saba katuwakilishe south...utaumbuka.
7 comments:
Anakumbuka shule leo? Wow...shule hiyo ipo serious? Darasa la ngapi sasa? Na juisi pembeni.....kweli bongo shule zipo tambarare.
Ni bora,lakini hiyo glass ya juice na kijisimu ni vya nini??? Sijui ni shule gani hiyo inayoruhusu glass ya juice darasani! Duh!!!
Mbona naonekana kama ana act movie vile.
Hakuna lolote...is too late.....akili yako inawaza mengine sio shule....saangapi utasoma na ubishololo utamwachia nani
Never too late!
jamani labda yuko nyumbani anafanya homework,ndio maana juice pembeni nk
pia shule haina too late,kwanza huyu bado ni motto mdogo sana
Anaweza kuwa karudi shule kweli,ila picha kapigia sehemu nyingine.. .wasani......na manjonjo....manake ukiambiwa Darasa la saba katuwakilishe south...utaumbuka.
Post a Comment