Hii ni supu ya pweza kwa wale wazawa wa ukanda wa pwani hii ndiyo dawa ya pressure ukinywa hii afya utengamaa na kila kitu ndani ya nyumba ni tambalale. Ni ushauri tu ukipata nafasi hata huku ughaibuni piga siku moja moja lakini ukiwa na uwakika siku hiyo mama hakuwa na schedule mbaya kazini maana hizi kazi zetu za kubeba box huku kwa wakoloni wee acha tu, Hajulikani baba wala mama ndani ya nyumba wote haki sawa.
Hapa ndiyo beef hilo lilipoanzia Joketi akiamini kuwa ushindi huu wa miss Tanzania 2006 yeye ndiyo alistahili kushinda na siyo wema.
No comments:
Post a Comment