Uwezi kupa hudumu ya hii ya brain scanner katika hospitali ya rufaa ya muhimbili hadi uende kwenye hospitali binafsi ya Agha Khan kwa gharama ya shilling laki 5. Lakini machine hii kama ingekuwa inapatikana katika hosiptali ya rufaa muhimbili ingekuwa inagharimu shilling elf 80. Swali ni je kwani gharama ya kununua machine hii serikali imeshindwa? nakuisimika katika hospitali yetu ya rufaa.
1 comment:
Serikali yetu tatizo lililopo ni kwa wawajibikaji hawafanyi kazi zao wanavyotakiwa, kwa ufupi hawajui wajibu wa kazi zao!!!! Wanapandishwa vyeo bila kuwa trained, wewe unafikiri wata mshauri nn raisi? Kila cku wakiumwa wanaenda south africa wanalipa madola kibaooo bila kufikia waboreshe hospitali zeta ili watibiwe nyumbani, viongoz wetu wote wako after money tuu hawajui jinsi ya kutumikia taifa kabisaaa kazi kusinzia bungeni hoja za maana hawana..shame on u guys. .
Post a Comment