Rais Benjamini Willium Mkapa, ambaye ndiye pekee jina lake linatumika vyema kwa shule iliyobeba jina lake kufanya vyema.
Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne
2013 yalitangazwa juzi na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la
Tanzania (NECTA) Jijini Dar es Salaam. Blogu hii leo imepitia na kuangalia
baadhi tu ya Shule za Sekondari ambazo zinamajina ya Viongozi wa Kuu wa
Serikali, ama Wastaafu au waliopo madarakani. Lakini Matokeo hayo hayaendani
kabisa na Majina hayo kutokana na vile zilivyofanya vibaya jambo ambalo ni
aibu.
Je ipo haja ya Viongozi hao
kuhakikisha wanazisimamia shule hizo kwa ukaribu zaidi na kuhakikisha zinafanya
vizuri ili kuepusha aibu iliyopo? au ziendelee hivi na viongozi hao wakijivunia
kuwa jamii imewapa heshima ya Jina lake kutumika katika shule tu. Angalia
baadhi ya matokeo ya shule hizo ambazo ni Benjamini Mkapa tu inaonesha walau
kufanya vyema.
S0960 BENJAMIN WILLIAM
MKAPA HIGH SCHOOL
DIV-I = 45 DIV-II = 52
DIV-III = 56 DIV-IV = 92 DIV-0 = 65
S1930 J. M. KIKWETE
SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 2 DIV-II = 2
DIV-III = 13 DIV-IV = 54 DIV-0 = 43
S0817 PAUL BOMANI
SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 1
DIV-III = 4 DIV-IV = 36 DIV-0 = 32
S0861 NELSON-MANDELA
SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0
DIV-III = 2 DIV-IV = 30 DIV-0 = 70
S0922 MWINYI SECONDARY
SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 4
DIV-III = 11 DIV-IV = 21 DIV-0 = 41
S0985 MZINDAKAYA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 1
DIV-III = 3 DIV-IV = 31 DIV-0 = 26
S1033 AMANI ABEID KARUME SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0
DIV-III = 2 DIV-IV = 26 DIV-0 = 53
S0614 NYERERE SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 1 DIV-II = 1
DIV-III = 9 DIV-IV = 54 DIV-0 = 64
S0716 MALECELA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 1 DIV-II = 6
DIV-III = 20 DIV-IV = 73 DIV-0 = 19
S0740 ALI HASSAN MWINYI ISL. SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 9
DIV-III = 35 DIV-IV = 101 DIV-0 = 103
S1038 J.K. NYERERE
SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 13 DIV-II = 35
DIV-III = 40 DIV-IV = 110 DIV-0 = 53
S1344 MWALIMU J K NYERERE
SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 3 DIV-II = 10 DIV-III = 19
DIV-IV = 47 DIV-0 = 54
S1728 RASHIDI MFAUME KAWAWA
SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 2
DIV-IV = 14 DIV-0 = 16
S1796 DR. DIDAS MASABURI SECONDARY
SCHOOL
DIV-I = 1 DIV-II = 5 DIV-III = 22
DIV-IV = 26 DIV-0 = 2
S1806 YUSUF MAKAMBA SECONDARY
SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 9 DIV-III = 33
DIV-IV = 92 DIV-0 = 112
S1803 LOWASSA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 2 DIV-II = 9 DIV-III = 25
DIV-IV = 72 DIV-0 = 71
S1812 ISDORE SHIRIMA SECONDARY
SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0
DIV-IV = 7 DIV-0 = 20
S3561 SALMA KIKWETE
SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 6 DIV-II = 19
DIV-III = 24 DIV-IV = 91 DIV-0 = 77
S3725 FELIX MREMA
SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 2 DIV-II = 9
DIV-III = 36 DIV-IV = 93 DIV-0 = 77
S4029 WILLIAM LUKUVI
SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 3 DIV-III
= 3 DIV-IV = 21 DIV-0 = 8
S5068 JOEL BENDERA SECONDARY
SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 5
DIV-IV = 6 DIV-0 = 28
1 comment:
Ni aibu kuona Tanzania inaongelea kukua kwa elimu nchi kwa vigezo vya kuongezeka kwa idadi ya shule.wakati quality ya elimu ikiendelea kushuka siku hadi siku.
Post a Comment