Tanki
la maji ambalo bado ujenzi wake haujakamilika wakati muda aliopewa
mkandarasi kutekeleza umeshapita, Mradi huu upo kwenye kijiji cha Kelema
Kuu wilayani Chemba, mkoani Dodoma wanaoonekana ni wataalamu wa maji wa
wilaya ya chemba wakati wa ziara ya pamoja na wataalamu wa sekretarieti
ya mkoa wa Dodoma walipotembelea miradi ya maendeleo kwenye wilaya
hiyo.
Matofari
yaliyotengenezwa kwa ajili ya ujenzi wa tanki kubwa la maji lenye ujazo
wa lita elfu hamsini ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi
wa maji wa kijiji cha Kelema Kuu wilayani Chemba Dodoma, ziara ya
wataalamu kutoka Sekretarieti ya mkoa wa dodoma iliyowashirikisha
wataalamu na watendaji wa wilaya ya chemba ilibaini baadhi ya matofali
haya kuwa na nyufa jambo llililoonesha wasiwasi wa ubora wake.
No comments:
Post a Comment